Leviticus 23:5-6

5 aPasaka ya Bwana huanza jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza. 6 bSiku ya kumi na tano ya mwezi huo wa kwanza, Sikukuu ya Bwana ya Mikate Isiyotiwa Chachu huanza; kwa siku saba, mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Copyright information for SwhNEN